" Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka "

 

 

 
Wednesday, May 31, 2006

Je haya hana ukweli?

Kweli maneno haya kuhusu kuwepo manabii wengi siku za mwisho tumeyasikia sana, mimi nina tatizo moja na naomba kusaidiwa kama kweli muda huo ndio umefika kwani kutokana na habari hii. soma hapa.

Monday, May 29, 2006

Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe

Juhudi nyingi zinafanyika ili kuhakikisha mwanamke anakuwa na maendeleo, ila pia vipo vikwazo vingi ambavyo vinasababisha hilo lifanyike polepole sana.

Ninyi na mimi tumekuwa mashahidi na kushuhudia suala hili likiwakandamiza sana wanawake katika harakati zao za kujikwamua kimaisha. soma hapa.

Sunday, May 28, 2006

Kwa kasi hii tutakwisha!

Pamoja na juhudi za Serikali za kujaribu kuondoa tatizo la njaa, tatizo hilo limeonekana kutaka kuota mizizi huku likisaidiwa na tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta.

Tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta limekuja wakati mbaya ambapo bado kuna tatizo la upungufu mkubwa wa chakula.

Huko masokoni chakula kilichopo hakitoshi, lakini kimepanda bei kutokana na gharama za usafirishaji kupanda. wakati ukirudi nyuma unakuja kukwama pale pale kwenye kupanda kwa bei ya mafuta.

Kumbe basi hili nalo ni tatizo tena kubwa ambalo linaweza kuleta madhara kama halitachukuliwa hatua mapema.

Baadhi ya madhara hayo tumeshaanza kuyaona ikiwa ni pamoja na kupanda kwa nauli za daladala na mabasi na kusababisha watu kushindwa kumudu hali ya gharama hizo na kuleta usumbufu mkubwa. kwani usafiri ni muhimu kwao sasa kama utakuwa wa gharama hilo si tatizo kubwa?

Nawatakia siku njema.

Saturday, May 06, 2006

Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe

Asalam alakum, kwanza kabisa napendaa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwa kuwa kimya kwa kipindi kirefu, ila sasa nimerudi tena kwa Ari mpya,Nguvu mpya, kasi mpya.

Pia napenda kuwapongeza wale wote ambao wamekuwa mstari wa mbele katika kuisoma blogu yangu na kuweza kunipa mawazo mbalimbali na nawaahidi kuutumia vizuri ushauri wao katikaa kuboresha blogu yangu.

Ningepemda kuwaakumbusha kuwa "mkombozi w mwanamke ni mwanamke mwenyewe" nawatakia maisha mema na yenye maafanikio.

KUHUSU MIMI

JINA:Zainab Yusuph
MAKAZI:Dodoma
NCHI:Tanzania
KAZI:Mwandishi

BLOGI ZA KISWAHILI

 • Bangaiza
 • Mwandani
 • Pambazuko
 • Damija
 • Mtafiti
 • Martha
 • Gaphiz
 • Swahili time
 • Miruko
 • Dira yangu
 • Msangimdogo
 • Jeff Msangi
 • Kasri la mwanazuoni
 • Kurunzi
 • Baragumu
 • Mawazohuru
 • Fikra Thabiti
 • Mtandaoni
 • Motowaka
 • Mkwinda
 • Ngurumo
 • Nyembo
 • Bwaya
 • Omega
 • Tafakari za Maisha
 • Nuru akilini
 • Mtandawazi
 • Mhujumu
 • Vijimamboz
 • Wakati wa Ukombozi
 • Kijiwe Joto
 • Watoto Wetu
 • Jungu kuu
 • Kisima cha Weledi
 • Jarida la Ughaibuni
 • Bhalezee
 • Sauti ya Baragumu
 • Kona yangu
 • Furahia Maisha
 • Bakanja
 • Terrie Swai
 • Fatma Karama
 • Kazonta
 • Binti Afrika
 • Blogu ya Kilimo
 • Ukombozi
 • Mwafrika
 • Digital Africa
 • Blogu ya lugha mseto
 • BLOGI ZA WAAFRIKA

 • BLOGAFRICA
 • BLOGU ZA WAAFRIKA
 • DIGITAL AFRICA
 • MAMA JUNKYARD'S
 • MSHAIRI
 • KENYAN PUNDIT
 • MONGI DREAMS
 • ISARIA MWENDE
 • CUNNING LINGUISTICA
 • ETHIOPUNDIT
 • MOCHALICIOUS
 • UNGANISHA
 • DEMOKRASIA KENYA
 • CHANUKA
 • BANKELE
 • MAARIFA/AKIEY
 • AFROMUSING
 • NEHANDA DREAMS
 • BLACK LOOKS
 • YUMMY WAKAME
 • AFRICAN OIL POLITICS
 • NUBIAN SOUL
 • SANAA
 • VIRTUAL INSANITY
 • MENTAL ACROBATICS
 • KENYA UNLIMITED
 • JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI

  2005-04 2005-05 2005-06 2005-07 2005-08 2005-11 2006-05 2006-06

  Imetengenezwa na

  Bonyeza hapa kumtembelea msangimdogo

  na inawezeshwa na