" Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka "

 

 

 
Wednesday, August 24, 2005

Sote tuliwapenda,lakini Mungu aliwapenda zaidi!

Ndivyo wengi wapenzi wa muziki wa kizazi kipya,Ndugu, jamaa marafiki na wengine wote wanaomfahamu hawa hapa.Hakika kweli wametuachia huzuni,lakini sababu mungu alimpenda zaidi hatuna budi kushukuru.

Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. AMIN

Friday, August 05, 2005

Mwingine tena kuongezeka!

Kwakweli sasa Technologia hii imewapatia hamasa wengi sana na hata kuwa na shauku ya kutaka kujiunga ili nao wajionee wenyewe faida za Utandawazi.Mwanablog mwingine Toka hapahapa Tanzania Bofya Hapa.

Monday, August 01, 2005

Tukiwezeshwa tunaweza!

Kama ninavyoamini siku zote kuwa wanawake uwezo tunao wa kujiletea maendeleo na kujikomboa katika mfumo dume,hivyo tukiamua na pia kuwezeshwa maendeleo yetu yatatokana na sisi wenyewe.Hilo limeonekana kuaminika kwa wengi kama anavyosisitizia Dr.MARCIA ODELL msome hapa.

KUHUSU MIMI

JINA:Zainab Yusuph
MAKAZI:Dodoma
NCHI:Tanzania
KAZI:Mwandishi

BLOGI ZA KISWAHILI

 • Bangaiza
 • Mwandani
 • Pambazuko
 • Damija
 • Mtafiti
 • Martha
 • Gaphiz
 • Swahili time
 • Miruko
 • Dira yangu
 • Msangimdogo
 • Jeff Msangi
 • Kasri la mwanazuoni
 • Kurunzi
 • Baragumu
 • Mawazohuru
 • Fikra Thabiti
 • Mtandaoni
 • Motowaka
 • Mkwinda
 • Ngurumo
 • Nyembo
 • Bwaya
 • Omega
 • Tafakari za Maisha
 • Nuru akilini
 • Mtandawazi
 • Mhujumu
 • Vijimamboz
 • Wakati wa Ukombozi
 • Kijiwe Joto
 • Watoto Wetu
 • Jungu kuu
 • Kisima cha Weledi
 • Jarida la Ughaibuni
 • Bhalezee
 • Sauti ya Baragumu
 • Kona yangu
 • Furahia Maisha
 • Bakanja
 • Terrie Swai
 • Fatma Karama
 • Kazonta
 • Binti Afrika
 • Blogu ya Kilimo
 • Ukombozi
 • Mwafrika
 • Digital Africa
 • Blogu ya lugha mseto
 • BLOGI ZA WAAFRIKA

 • BLOGAFRICA
 • BLOGU ZA WAAFRIKA
 • DIGITAL AFRICA
 • MAMA JUNKYARD'S
 • MSHAIRI
 • KENYAN PUNDIT
 • MONGI DREAMS
 • ISARIA MWENDE
 • CUNNING LINGUISTICA
 • ETHIOPUNDIT
 • MOCHALICIOUS
 • UNGANISHA
 • DEMOKRASIA KENYA
 • CHANUKA
 • BANKELE
 • MAARIFA/AKIEY
 • AFROMUSING
 • NEHANDA DREAMS
 • BLACK LOOKS
 • YUMMY WAKAME
 • AFRICAN OIL POLITICS
 • NUBIAN SOUL
 • SANAA
 • VIRTUAL INSANITY
 • MENTAL ACROBATICS
 • KENYA UNLIMITED
 • JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI

  2005-04 2005-05 2005-06 2005-07 2005-08 2005-11 2006-05 2006-06

  Imetengenezwa na

  Bonyeza hapa kumtembelea msangimdogo

  na inawezeshwa na