" Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka "

 

 

 
Tuesday, July 19, 2005

Hivi ni kweli misaada ya mikopo iyasaidia kuondoa umaskini?

Pamoja na watu kuzungumzia suala hili kwa kirefu zaidi huku asilimia kubwa wakiamini kuwa ni kweli fedha wanazokopeshwanchi zinazoendelea na benki ya dunia zitasaidia kuondoa umaskini.

Wapo ambao wamekuwa wakijiuliza kuwa ni muda gani sasa umepita tangu tumeanza kukopesha na bado hali ya wananchi inazidi kuwa mbaya na yakusikitisha,mimi nikiwa mmoja wao.

Kwa kweli mpango huu mimi naona ni wa kuwafaidisha wachache na haswa wale ambao eti wamekuwa wakijidai kutukopesha kwa kigezo cha kutusaidia kujikwamua na na umaskini.

Hivi kuna maendeleo gani iwapo watatukopesha kwa vigezo vya kuwabinafsishia vitega uchumi vyetu,ambavyo ndio njia pekee ya kuweza kutupatia maendeleo? badala ya kutupatia elimu ya namna ya kuvitumia ili kujiletea maendeleo.

Kwakweli suala hilo mimi "Mbado" siliafiki kwa wao kuendelea kutukopesha huku wakituzulumu,ni bora "Umaskini wa mali kuliko wa akili'' nikimaanisha kuwa mali tunazo ila elimu ndio hatuna, hiuvyo hilo ndilo tunalohitaji.

Hii sio kampeni ya kuondoa umaskini, bali ya kuchochea umaskini!

Nawatakia kazi njema.

Kila mwanamkeanahitaji haya!

Mbali na kuwa na mahitaji yaliyo muhimu kwa binadamu wote lnikimaanisha mwanaume na mwanamke, kwa mwamamke kuna ya ziada ambayo tanaweza kumsaidia maishani na kumuongezea faraja kiatika maisha yake kama haya hapa.

KUHUSU MIMI

JINA:Zainab Yusuph
MAKAZI:Dodoma
NCHI:Tanzania
KAZI:Mwandishi

BLOGI ZA KISWAHILI

 • Bangaiza
 • Mwandani
 • Pambazuko
 • Damija
 • Mtafiti
 • Martha
 • Gaphiz
 • Swahili time
 • Miruko
 • Dira yangu
 • Msangimdogo
 • Jeff Msangi
 • Kasri la mwanazuoni
 • Kurunzi
 • Baragumu
 • Mawazohuru
 • Fikra Thabiti
 • Mtandaoni
 • Motowaka
 • Mkwinda
 • Ngurumo
 • Nyembo
 • Bwaya
 • Omega
 • Tafakari za Maisha
 • Nuru akilini
 • Mtandawazi
 • Mhujumu
 • Vijimamboz
 • Wakati wa Ukombozi
 • Kijiwe Joto
 • Watoto Wetu
 • Jungu kuu
 • Kisima cha Weledi
 • Jarida la Ughaibuni
 • Bhalezee
 • Sauti ya Baragumu
 • Kona yangu
 • Furahia Maisha
 • Bakanja
 • Terrie Swai
 • Fatma Karama
 • Kazonta
 • Binti Afrika
 • Blogu ya Kilimo
 • Ukombozi
 • Mwafrika
 • Digital Africa
 • Blogu ya lugha mseto
 • BLOGI ZA WAAFRIKA

 • BLOGAFRICA
 • BLOGU ZA WAAFRIKA
 • DIGITAL AFRICA
 • MAMA JUNKYARD'S
 • MSHAIRI
 • KENYAN PUNDIT
 • MONGI DREAMS
 • ISARIA MWENDE
 • CUNNING LINGUISTICA
 • ETHIOPUNDIT
 • MOCHALICIOUS
 • UNGANISHA
 • DEMOKRASIA KENYA
 • CHANUKA
 • BANKELE
 • MAARIFA/AKIEY
 • AFROMUSING
 • NEHANDA DREAMS
 • BLACK LOOKS
 • YUMMY WAKAME
 • AFRICAN OIL POLITICS
 • NUBIAN SOUL
 • SANAA
 • VIRTUAL INSANITY
 • MENTAL ACROBATICS
 • KENYA UNLIMITED
 • JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI

  2005-04 2005-05 2005-06 2005-07 2005-08 2005-11 2006-05 2006-06

  Imetengenezwa na

  Bonyeza hapa kumtembelea msangimdogo

  na inawezeshwa na