" Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka "

 

 

 
Thursday, June 30, 2005

naomba kusaidiwa!

Jambo hili limekuwa likinitatiza sana na hatimaye nikibaki bila kuwa na jibu la uhakika kuwa kiwango cha uzee wa mtu kinapimwa na umri au maumbile{ nikimaanisha miondoko, mikunjamano ya uso pamoja na ya mwili}

Kwani hata watu wengi nimekuwa nikiwasikia wakijiuliza swali hilohilo bila kupata jibu na mwisho kila mmoja kutafsiri uzee vile ajuavyo yeye hivyo wapendwa wasomaji wa blogu yangu naomba mnisaidie.

Thursday, June 09, 2005

Dhana hii imepitwa na wakati!

wakati wa kupeana haki sawa kwa kupeana nafasi za upendeleo kwa wanawake umepitwa na wakati kwani hautusaidii chochote bali unatulemaza na kuzidi kutuangamiza.

Dhana hii imewafanya wanawake wengi kudumaa na kuona kuwa muda bado haujafika kwa wao kusimama majukwaani na kugombania uongozi mbalimbali ili kujua jamii inawaamini kwa kiasi gani.

Jamani tunachohitaji si viti maalum bali ni uwezo wa kusimama majukwaani na kugombea kama wafanyavyo wengine hilo ndilo la muhimu na la maana katika ukombozi wa mwanamke.

Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!

KUHUSU MIMI

JINA:Zainab Yusuph
MAKAZI:Dodoma
NCHI:Tanzania
KAZI:Mwandishi

BLOGI ZA KISWAHILI

 • Bangaiza
 • Mwandani
 • Pambazuko
 • Damija
 • Mtafiti
 • Martha
 • Gaphiz
 • Swahili time
 • Miruko
 • Dira yangu
 • Msangimdogo
 • Jeff Msangi
 • Kasri la mwanazuoni
 • Kurunzi
 • Baragumu
 • Mawazohuru
 • Fikra Thabiti
 • Mtandaoni
 • Motowaka
 • Mkwinda
 • Ngurumo
 • Nyembo
 • Bwaya
 • Omega
 • Tafakari za Maisha
 • Nuru akilini
 • Mtandawazi
 • Mhujumu
 • Vijimamboz
 • Wakati wa Ukombozi
 • Kijiwe Joto
 • Watoto Wetu
 • Jungu kuu
 • Kisima cha Weledi
 • Jarida la Ughaibuni
 • Bhalezee
 • Sauti ya Baragumu
 • Kona yangu
 • Furahia Maisha
 • Bakanja
 • Terrie Swai
 • Fatma Karama
 • Kazonta
 • Binti Afrika
 • Blogu ya Kilimo
 • Ukombozi
 • Mwafrika
 • Digital Africa
 • Blogu ya lugha mseto
 • BLOGI ZA WAAFRIKA

 • BLOGAFRICA
 • BLOGU ZA WAAFRIKA
 • DIGITAL AFRICA
 • MAMA JUNKYARD'S
 • MSHAIRI
 • KENYAN PUNDIT
 • MONGI DREAMS
 • ISARIA MWENDE
 • CUNNING LINGUISTICA
 • ETHIOPUNDIT
 • MOCHALICIOUS
 • UNGANISHA
 • DEMOKRASIA KENYA
 • CHANUKA
 • BANKELE
 • MAARIFA/AKIEY
 • AFROMUSING
 • NEHANDA DREAMS
 • BLACK LOOKS
 • YUMMY WAKAME
 • AFRICAN OIL POLITICS
 • NUBIAN SOUL
 • SANAA
 • VIRTUAL INSANITY
 • MENTAL ACROBATICS
 • KENYA UNLIMITED
 • JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI

  2005-04 2005-05 2005-06 2005-07 2005-08 2005-11 2006-05 2006-06

  Imetengenezwa na

  Bonyeza hapa kumtembelea msangimdogo

  na inawezeshwa na