Sote tuliwapenda,lakini Mungu aliwapenda zaidi!
Ndivyo wengi wapenzi wa muziki wa kizazi kipya,Ndugu, jamaa marafiki na wengine wote wanaomfahamu hawa hapa.Hakika kweli wametuachia huzuni,lakini sababu mungu alimpenda zaidi hatuna budi kushukuru.
Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. AMIN