" Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka "

 

 

 
Tuesday, July 19, 2005

Hivi ni kweli misaada ya mikopo iyasaidia kuondoa umaskini?

Pamoja na watu kuzungumzia suala hili kwa kirefu zaidi huku asilimia kubwa wakiamini kuwa ni kweli fedha wanazokopeshwanchi zinazoendelea na benki ya dunia zitasaidia kuondoa umaskini.

Wapo ambao wamekuwa wakijiuliza kuwa ni muda gani sasa umepita tangu tumeanza kukopesha na bado hali ya wananchi inazidi kuwa mbaya na yakusikitisha,mimi nikiwa mmoja wao.

Kwa kweli mpango huu mimi naona ni wa kuwafaidisha wachache na haswa wale ambao eti wamekuwa wakijidai kutukopesha kwa kigezo cha kutusaidia kujikwamua na na umaskini.

Hivi kuna maendeleo gani iwapo watatukopesha kwa vigezo vya kuwabinafsishia vitega uchumi vyetu,ambavyo ndio njia pekee ya kuweza kutupatia maendeleo? badala ya kutupatia elimu ya namna ya kuvitumia ili kujiletea maendeleo.

Kwakweli suala hilo mimi "Mbado" siliafiki kwa wao kuendelea kutukopesha huku wakituzulumu,ni bora "Umaskini wa mali kuliko wa akili'' nikimaanisha kuwa mali tunazo ila elimu ndio hatuna, hiuvyo hilo ndilo tunalohitaji.

Hii sio kampeni ya kuondoa umaskini, bali ya kuchochea umaskini!

Nawatakia kazi njema.

7 Maoni ya Wasomaji:

Blogger Indya Nkya anasema...

Ndugu yangu siasa za misaada ya nje ni ngumu sana, kuna usanii uigizaji ushenzi na kila kitu. Kama una muda pitia moja ya makala yangu iliyopo kwenye Blogu kuhusu misaada ya nje nimejaribu kueleza japo kidogo.

8:39 PM  
Blogger mwandani anasema...

Misaada ikitumiwa kama mafuta ya kulainisha mahusiano baina ya mataifa haina shaka. Uchina ni nchi inayopokea misaada mingi sana kuliko mataifa mengine... iko chini baada ya Uyahudikwa kupokea mapesa. Lakini Uchina inaendesha maendeleo yake inavyotaka. Nguvu waliyonayo kiuchumi wa watu bilioni moja na ushee hakuna mfanyabiashara atakayetaka kupoteza soko. Waafrika milioni karibu mia nane ni soko kubwa pia tena lenye kila rasilimali. Misaada haifanyi kazi kwa sababu tumegawanyika na tumechanganyikiwa kidogo. Brazili pia , pamoja na kundi la masikini kubwa nchini mwao... wanapokea na kuendelea kiuchumi. Basi naona jibu si rahisi, maana kuna vigezo vingi vingine vinavyosababisha maendeleo zaidi ya pesa tu.
‘Matakwa ya riziki yanatumaliza, lakini matakwa hayo ya mali yanapoambatana na umasikini wa kiroho ndio hapo tunapojiua kabisa… msipoteze wakati kujadili matakwa ya kiuchumi ya mtu mweusi, kabla ya kujadili umasikini wa kiroho…’ - Steve Biko

11:41 AM  
Blogger Ndesanjo Macha anasema...

Nakubaliana na hoja za Mwandani na Idya. Siasa za mikopo ni nzito na ngumu kweli. Na kama anavyosema Mwandani kuna haja ya kujadili umasikini wa kiroho. Umasikini wa kutojijua.

11:33 PM  
Anonymous Anonymous anasema...

Stop HARD WORKING)))
Only for man useful links )))

FOR FORCE [url=http://viagra.rxworlddata.info]buy viagra[/url] FOR REST [url=http://casino.rxworlddata.info]casino[/url]
and for your girlfriend )))) [url=http://rxpatientinfo.info/index4.html]purple flower[/url]


i think its will be usefull ))))))

I found a lot of interesting information for me ))) here )))) and i start prepare to 8 march )))))

6:11 PM  
Anonymous Anonymous anasema...

I start to women day prepear

I start to women day prepare……
I buy flower, viagra and xanax .....))))
But I have problem. I haven't women….
Help me please.

11:23 AM  
Anonymous Anonymous anasema...

Best flower for you girlfriend
BEST FLOWER

soma or here phentermine

5:44 AM  
Anonymous Anonymous anasema...

Post70, http://www.arlo.net/massacree/ online viagra, mrdy2, http://www.arlo.net/fccgb/ buy viagra no prescription, qizc6, http://www.arlo.net/fccgb/notes/ generic viagra online, ksre4, http://www.arlo.net/bytes/ cheap viagra online, neiz9, http://www.arlo.net/live/ viagra for sale

8:04 PM  

Post a Comment

<< Rudi mwanzo

KUHUSU MIMI

JINA:Zainab Yusuph
MAKAZI:Dodoma
NCHI:Tanzania
KAZI:Mwandishi

BLOGI ZA KISWAHILI

 • Bangaiza
 • Mwandani
 • Pambazuko
 • Damija
 • Mtafiti
 • Martha
 • Gaphiz
 • Swahili time
 • Miruko
 • Dira yangu
 • Msangimdogo
 • Jeff Msangi
 • Kasri la mwanazuoni
 • Kurunzi
 • Baragumu
 • Mawazohuru
 • Fikra Thabiti
 • Mtandaoni
 • Motowaka
 • Mkwinda
 • Ngurumo
 • Nyembo
 • Bwaya
 • Omega
 • Tafakari za Maisha
 • Nuru akilini
 • Mtandawazi
 • Mhujumu
 • Vijimamboz
 • Wakati wa Ukombozi
 • Kijiwe Joto
 • Watoto Wetu
 • Jungu kuu
 • Kisima cha Weledi
 • Jarida la Ughaibuni
 • Bhalezee
 • Sauti ya Baragumu
 • Kona yangu
 • Furahia Maisha
 • Bakanja
 • Terrie Swai
 • Fatma Karama
 • Kazonta
 • Binti Afrika
 • Blogu ya Kilimo
 • Ukombozi
 • Mwafrika
 • Digital Africa
 • Blogu ya lugha mseto
 • BLOGI ZA WAAFRIKA

 • BLOGAFRICA
 • BLOGU ZA WAAFRIKA
 • DIGITAL AFRICA
 • MAMA JUNKYARD'S
 • MSHAIRI
 • KENYAN PUNDIT
 • MONGI DREAMS
 • ISARIA MWENDE
 • CUNNING LINGUISTICA
 • ETHIOPUNDIT
 • MOCHALICIOUS
 • UNGANISHA
 • DEMOKRASIA KENYA
 • CHANUKA
 • BANKELE
 • MAARIFA/AKIEY
 • AFROMUSING
 • NEHANDA DREAMS
 • BLACK LOOKS
 • YUMMY WAKAME
 • AFRICAN OIL POLITICS
 • NUBIAN SOUL
 • SANAA
 • VIRTUAL INSANITY
 • MENTAL ACROBATICS
 • KENYA UNLIMITED
 • JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI

  2005-04 2005-05 2005-06 2005-07 2005-08 2005-11 2006-05 2006-06

  Imetengenezwa na

  Bonyeza hapa kumtembelea msangimdogo

  na inawezeshwa na