" Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka "

 

 

 
Thursday, May 19, 2005

Kwa kweli hili linahitaji maombi pia!

Tulikuwa tumeanza kusahau lakini inavyoonyesha tabia hii ya kuchuna ngozi binadamu imerudi tena kwa kasi na kufanya watu mbalimbali kuzungumzia jambo hili kama anavyoelezea Askofu.soma hapa.

4 Maoni ya Wasomaji:

Blogger msangimdogo anasema...

ah, dada yangu, huyo wa kuombea haya yuko wapi sasa?? maana nalazimika kuuliza hivi kutokana na ukweli kuwa wahubiri wetu wa kidini wanayaona haya, lakini wanaweza kuombea kiongozi ashinde uchaguzi na sio haya kuondoka

9:22 PM  
Blogger Indya Nkya anasema...

Kama kungekuwa na uhusiano kati ya maombi na binadamu kubadilika basi Mbeya ambako ndiko kuna uchunaji mkubwa wa ngozi pamoja na kasi kubwa ya maambukizi ya UKIMWI basi haya matatizo yangeisha. Ninasema hivyo kwa sababu Mbeya ni mji wa pili Afrika baada ya Lagos kuwa na madhehebu mengi ya kikristo. Hakuna dini siku hizi ni uiigizaji tuu

11:01 AM  
Blogger Martha Mtangoo anasema...

kuchuna ngozi kwa kweli ni noma mshikaji hili halihitaji maombi bali linahitaji kutafutiwa mganga wa kienyeji mwenye master ya uganga wa jadi.

11:36 AM  
Blogger BAKANJA anasema...

Tujiulize kwanza ni kwa nini watu wachune ngozi?Mpaka tutakapoweza kuelewa mtazamo na namna ya kufikiri ya hawa wachunaji ndipo tutakoweza kuondoa tatizo.Kuwaombea sio suluhisho hata kidogo,ni lazima tujifunze imani,desturi na mila za hawa watu ili tuweze kuwaambia kuwa wafanyalo sii sawa.Tusipowaelewa hata kama tukisema ni kinyume tutakuwa tunampigia mbuzi jitaa tu.

10:34 AM  

Post a Comment

<< Rudi mwanzo

KUHUSU MIMI

JINA:Zainab Yusuph
MAKAZI:Dodoma
NCHI:Tanzania
KAZI:Mwandishi

BLOGI ZA KISWAHILI

 • Bangaiza
 • Mwandani
 • Pambazuko
 • Damija
 • Mtafiti
 • Martha
 • Gaphiz
 • Swahili time
 • Miruko
 • Dira yangu
 • Msangimdogo
 • Jeff Msangi
 • Kasri la mwanazuoni
 • Kurunzi
 • Baragumu
 • Mawazohuru
 • Fikra Thabiti
 • Mtandaoni
 • Motowaka
 • Mkwinda
 • Ngurumo
 • Nyembo
 • Bwaya
 • Omega
 • Tafakari za Maisha
 • Nuru akilini
 • Mtandawazi
 • Mhujumu
 • Vijimamboz
 • Wakati wa Ukombozi
 • Kijiwe Joto
 • Watoto Wetu
 • Jungu kuu
 • Kisima cha Weledi
 • Jarida la Ughaibuni
 • Bhalezee
 • Sauti ya Baragumu
 • Kona yangu
 • Furahia Maisha
 • Bakanja
 • Terrie Swai
 • Fatma Karama
 • Kazonta
 • Binti Afrika
 • Blogu ya Kilimo
 • Ukombozi
 • Mwafrika
 • Digital Africa
 • Blogu ya lugha mseto
 • BLOGI ZA WAAFRIKA

 • BLOGAFRICA
 • BLOGU ZA WAAFRIKA
 • DIGITAL AFRICA
 • MAMA JUNKYARD'S
 • MSHAIRI
 • KENYAN PUNDIT
 • MONGI DREAMS
 • ISARIA MWENDE
 • CUNNING LINGUISTICA
 • ETHIOPUNDIT
 • MOCHALICIOUS
 • UNGANISHA
 • DEMOKRASIA KENYA
 • CHANUKA
 • BANKELE
 • MAARIFA/AKIEY
 • AFROMUSING
 • NEHANDA DREAMS
 • BLACK LOOKS
 • YUMMY WAKAME
 • AFRICAN OIL POLITICS
 • NUBIAN SOUL
 • SANAA
 • VIRTUAL INSANITY
 • MENTAL ACROBATICS
 • KENYA UNLIMITED
 • JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI

  2005-04 2005-05 2005-06 2005-07 2005-08 2005-11 2006-05 2006-06

  Imetengenezwa na

  Bonyeza hapa kumtembelea msangimdogo

  na inawezeshwa na