" Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka "

 

 

 
Tuesday, May 03, 2005

Hayawi hayawi, hatimae...........

Kuna msemo wa kale, wa Wahenga usemao, Hayawi hayawi, hatimaye huwa. Hili ndilo linalowatokea baadhi ya wazee wetu ambao walistaafu kutoka katika lililokuwa Shirikisho la nchi za Afrika Mashariki miaka kibao iliyopita lakini hadi leo hii hawajapewa mafao yao, ikiwa ni zaidi ya miaka 30 sasa. Lakini baada ya miaka yote hiyo, hatimaye kaibuka jamaa mmoja na kuwaahidi kuwa mafao hayo yako mbioni kuelekea mifukoni mwao hivi karibuni. Ni nani aliahidi hayo? Soma hapa

3 Maoni ya Wasomaji:

Blogger akiey anasema...

Asante kwa kuchangia swala hili ambalo kweli niliwahi kulisikia tangu nilivyokuwa kijibarobaro tu.
Ni jambo la kuhuzunisha mno kwamba miaka yote hii imepita na watu wangali na malalamishi ya kufidiwa juhudi na jasho lao la miaka ya jadi!?
Sasa, hata vitukuu vyao tumekuwa na bado wazee hawajapewa haki zao. Kweli Afrika tuna tabia za kusindikizana sana.
Nimejaribu kutazama tovuti uliyo elekeza hapo juu lakini haikunipeleka katika ripoti uliyotaja. Umeshaondoshwa pengine?

PS: Hongera, naona blogu yako yaendelea kuimarika. Poa kabisa Dada:)!

9:00 PM  
Blogger Zainab Yusuph anasema...

@ Akiei
Katika ukurasa wa maktaba ya Rais ambao unaonekana ukifungua sehemu niliyoelekeza, tafadhali nenda katika sehemu iliyoandikwa "Presidential Speeches", kisha changau hotuba za mwezi Mei 2005, ambapo utakutana na hotuba aliyoitoa wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi kitaifa, mjini Songea.

10:33 AM  
Blogger akiey anasema...

Asante Zainab kwa maelezo. Nimeweza kupata na kuisoma kwa ukamilifu ile hotuba ya Mei mosi.

10:04 PM  

Post a Comment

<< Rudi mwanzo

KUHUSU MIMI

JINA:Zainab Yusuph
MAKAZI:Dodoma
NCHI:Tanzania
KAZI:Mwandishi

BLOGI ZA KISWAHILI

 • Bangaiza
 • Mwandani
 • Pambazuko
 • Damija
 • Mtafiti
 • Martha
 • Gaphiz
 • Swahili time
 • Miruko
 • Dira yangu
 • Msangimdogo
 • Jeff Msangi
 • Kasri la mwanazuoni
 • Kurunzi
 • Baragumu
 • Mawazohuru
 • Fikra Thabiti
 • Mtandaoni
 • Motowaka
 • Mkwinda
 • Ngurumo
 • Nyembo
 • Bwaya
 • Omega
 • Tafakari za Maisha
 • Nuru akilini
 • Mtandawazi
 • Mhujumu
 • Vijimamboz
 • Wakati wa Ukombozi
 • Kijiwe Joto
 • Watoto Wetu
 • Jungu kuu
 • Kisima cha Weledi
 • Jarida la Ughaibuni
 • Bhalezee
 • Sauti ya Baragumu
 • Kona yangu
 • Furahia Maisha
 • Bakanja
 • Terrie Swai
 • Fatma Karama
 • Kazonta
 • Binti Afrika
 • Blogu ya Kilimo
 • Ukombozi
 • Mwafrika
 • Digital Africa
 • Blogu ya lugha mseto
 • BLOGI ZA WAAFRIKA

 • BLOGAFRICA
 • BLOGU ZA WAAFRIKA
 • DIGITAL AFRICA
 • MAMA JUNKYARD'S
 • MSHAIRI
 • KENYAN PUNDIT
 • MONGI DREAMS
 • ISARIA MWENDE
 • CUNNING LINGUISTICA
 • ETHIOPUNDIT
 • MOCHALICIOUS
 • UNGANISHA
 • DEMOKRASIA KENYA
 • CHANUKA
 • BANKELE
 • MAARIFA/AKIEY
 • AFROMUSING
 • NEHANDA DREAMS
 • BLACK LOOKS
 • YUMMY WAKAME
 • AFRICAN OIL POLITICS
 • NUBIAN SOUL
 • SANAA
 • VIRTUAL INSANITY
 • MENTAL ACROBATICS
 • KENYA UNLIMITED
 • JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI

  2005-04 2005-05 2005-06 2005-07 2005-08 2005-11 2006-05 2006-06

  Imetengenezwa na

  Bonyeza hapa kumtembelea msangimdogo

  na inawezeshwa na