" Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka "

 

 

 
Friday, April 15, 2005

Ninabisha hodi

Inawezekana kabisa kuwa sina uzoefu wa kiasi hicho lakini kwakuwa siku zote nimekuwa nikiamini kuwa kujaribu ndio kufanikiwa, sikuona kwanini nami nisijiunge katika uwanja huu wa kubadilishana uzoefu kupitia njia ya Mtandao.

Kwa ujumla kuna watu wengi sana ambao wameniwezesha walau kufikia hatua hii na ambao naamini kwamba wataendelea kunipa msaada wa aina yoyote kuhusiana na mambo ya blogu, pindi nikiuhitaji kutoka kwao.

Kama niulivyokwisha sema awali, walo wengi lakini labda napenda kumshukuru Bw. Ramadhani Msangi, kwa niaba yao wote, namshukru sana kwa yote anayonifanyia na namuombea Mungu amjaalie maisha mema na marefu.

6 Maoni ya Wasomaji:

Blogger msangimdogo anasema...

ama hakika mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, na kama kila mwanamke akijitahidi kwa kiasi hiki, bilashaka maendeleo kwa wanawake yatapatikana haraka sana

7:19 PM  
Blogger akiey anasema...

Karibu sana katika ulimwengu wa Blogu na nakutakia wakati mzuri na wa kufurahisha katika Mtandao.

8:10 PM  
Blogger Kenyan Pundit anasema...

Karibu!

8:39 AM  
Blogger Ndesanjo Macha anasema...

Karibu Mwanakwetu! Na ufungue njia...

1:08 AM  
Blogger banner ads anasema...

There is alot of Blogs, I never guessed I'd find some usefull information.

Thanks.
I'll be back later to see if anymore good updates are available.

4:43 AM  
Blogger 性爱 anasema...

I am totally nude come see me. Take a bit for all pics and movies to load.

Why do I do this I like to make men blow their jiz in their pants.

Visit me.裸体

9:38 PM  

Post a Comment

<< Rudi mwanzo

KUHUSU MIMI

JINA:Zainab Yusuph
MAKAZI:Dodoma
NCHI:Tanzania
KAZI:Mwandishi

BLOGI ZA KISWAHILI

 • Bangaiza
 • Mwandani
 • Pambazuko
 • Damija
 • Mtafiti
 • Martha
 • Gaphiz
 • Swahili time
 • Miruko
 • Dira yangu
 • Msangimdogo
 • Jeff Msangi
 • Kasri la mwanazuoni
 • Kurunzi
 • Baragumu
 • Mawazohuru
 • Fikra Thabiti
 • Mtandaoni
 • Motowaka
 • Mkwinda
 • Ngurumo
 • Nyembo
 • Bwaya
 • Omega
 • Tafakari za Maisha
 • Nuru akilini
 • Mtandawazi
 • Mhujumu
 • Vijimamboz
 • Wakati wa Ukombozi
 • Kijiwe Joto
 • Watoto Wetu
 • Jungu kuu
 • Kisima cha Weledi
 • Jarida la Ughaibuni
 • Bhalezee
 • Sauti ya Baragumu
 • Kona yangu
 • Furahia Maisha
 • Bakanja
 • Terrie Swai
 • Fatma Karama
 • Kazonta
 • Binti Afrika
 • Blogu ya Kilimo
 • Ukombozi
 • Mwafrika
 • Digital Africa
 • Blogu ya lugha mseto
 • BLOGI ZA WAAFRIKA

 • BLOGAFRICA
 • BLOGU ZA WAAFRIKA
 • DIGITAL AFRICA
 • MAMA JUNKYARD'S
 • MSHAIRI
 • KENYAN PUNDIT
 • MONGI DREAMS
 • ISARIA MWENDE
 • CUNNING LINGUISTICA
 • ETHIOPUNDIT
 • MOCHALICIOUS
 • UNGANISHA
 • DEMOKRASIA KENYA
 • CHANUKA
 • BANKELE
 • MAARIFA/AKIEY
 • AFROMUSING
 • NEHANDA DREAMS
 • BLACK LOOKS
 • YUMMY WAKAME
 • AFRICAN OIL POLITICS
 • NUBIAN SOUL
 • SANAA
 • VIRTUAL INSANITY
 • MENTAL ACROBATICS
 • KENYA UNLIMITED
 • JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI

  2005-04 2005-05 2005-06 2005-07 2005-08 2005-11 2006-05 2006-06

  Imetengenezwa na

  Bonyeza hapa kumtembelea msangimdogo

  na inawezeshwa na